Sunday, January 19, 2014

HABARI MPYA ZAIDI... MABADILIKO YAFANYA NAFASI WAZI ZAJAZWA

Balozi Ombeni Sefue Katibu Mkuu Kiongozi
NANI KATOKA NANI KAINGIA.........
1. WAZIRI WA ULINZI – Dk Hussein Ally Mwishi
2. WAZIRI WA MAMBO YA NDANI – Mathiasi Chikawe
3. WAZIRI WA MIFUGO – DK Taitus Kamani
4. WAZIRI WA MALIASILI --  Nyalandu
5. WAZIRI WA FEDHA -- Saada Mkuya NAIBU Mwigulu Nchemba (mambo ya sera zaidi)
MIONGONI MWA WALIOULA, 
JUMA NKAMIA..Naibu waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
JENISTA MUHAGAMA ... Naibu waziri wa Elimu
MWIGULU NCHEMBA ... Naibu waziri wa fedha
WALIOUMIA NA MABADILIKO HAYA
G.OLEMEDEYE
P.MULUGO

No comments: