Wednesday, January 15, 2014

CHONDE CHONDE WANAOTAKA KUBADISHA FEDHA ZAO KUWA DOLA... HIZO NDIZO DOLLA ZILIZOPO MTAANI KWA SASA

MAMA MMOJA LEO KATIKA TAWI LA NMB KENYATTA AMUKUMBANA NA KADHIA YA UTAPELI, MAMA HUYO AMETAPELIWA JUMLA YA  KIASI CHA SHILINGI ZA KITANZANIA LAKI TANO NA MTU MMOJA ALIEJIFANYA AFISA WA BENK YA NMB. 
MAMA HUYO ALIFIKA JIRANI NA MOJA YA MADUKA YA KUBADILISHIA FEDHA KATIKATI YA JIJI LA MWANZA, SHIDA YAKE ALITAKA KUJAUA NI WAPI WANABADILISHIA FEDHA, AKAJITOKEZA MSAMARIA MWEMA AMBAE MASKINI MAMA HUYO HAKUJUA KUMBE ALIKUA ANAIBIWA.
ANACHOELEZA KUTOKANA NA KUWA AMECHANGANYIKIWA BAADA YA KIASI HICHO KUPOTEA NI KUWA YULE MTU ALIMPELEKA HADI ENEO LA GOLD CREST AMBAKO KUNA BENK YA NMB, MAANA ALIAMBIWA KWA LEO NMB NDIO WENYE KIWANGO KIZURI CHA KUBADILISHA FEDHA, AKAMKABIDHI YULE BWANA BAHASHA YENYE PESA , KISHA BWANA YULE AKIPIGA KONA MBILI TATU NDANI YA JENGO, ALIPORUDI AKAMKABIDHI BAHASHA LILOANDIKWA JUU $2500, NAYE AKIJUA AMEPATA MSAADA AKATOKA ... MUDA MCHACHE BAADA YA KUTOKA AKAAMUA KUKAGUA YALIYOMO YAMOO.....? ALICHOKIKUTA KIPO HAPO KWENYE PICHA.
Hiki hapa kilichokuwa ndani yake, hivi ni viapnde vya madaftari...

Picha Akida Akida via facebook

No comments: