Sunday, August 30, 2015

MSIKILIZE MAMA HELEN KIJO BISIMBA KUHUSU WATUMISHI WA UMMA KUSHIRIKI KATIKA SIASA

MAELEZO KWA UFUPI...
Utumishi wa umma katika nchi yetu unaongozwa na Sheria ya Utumishi Serikalini namba 16 ya mwaka 1989 na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma Toleo la 1994 pamoja na marekebisho yake.
Kanuni za kudumu za utumishi toleo la 1994 , kifungu Na. A.1 (66) Kinatafsiri mtumishi wa umma kama mtu yoyote anayeshikilia ofisi ya umma ambayo imepewa mamlaka ama inatekeleza wajibu wenye asili ya umma, iwe chini ya utawala wa moja kwa moja wa Rais au la. Na inajumuisha maofisa walio chini ya Serikali za Mitaa ama Mashirika ya umma; lakini haijumuishi wanaoshikilia nafasi hizo kwa sehemu ya muda wa ziada(Part Time basis).
MSIKILIZE MAMA BISIMBA , NILIPOZUNGUMZA NAE KUHUSU HILI

HATIMA YETU 2015 , KANUNI ZA TCRA KUHUSU MAUDHUI YA VYOMBO VYA HABARI KWENYE UCHAGUZI MKUU


KIPINDI CHA JE WAJUA LEO AGOST 30 , SIKILIZA HAPA


Friday, August 7, 2015

MAWAZIRI KUANGUKA KWENYE KURA ZA MAONI KUNA TAFSIRI GANI, LOWASA KUWA MGOMBEA RASMI WA UKAWA KUNA MAANA GANI KISIASA , SIKILIZA HATIMA YETU 2015

VIONGOZI UKAWA

WAGOMBEA: Edward Lowasa katikati, rais jamuhuri ya muungano, Juma DUNI mgombea mwenza na Maal Seif Shariff urais Zanzibar...
BONYEZA KUSIKILIZA KIPINDI