Sunday, January 19, 2014

KWA UKAMILIFU YALIYOJIRI KATIKA MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI YAPO HAPA, KESHO SAA KUMI JIONI WANAAPISHWA

1. Naibu Waziri Wa Elimu Na Mafunzo Ya Ufundi > JENISTA MHAGAMA
2. Naibu Waziri Wa Chakula,Ushirika Na Masoko > GODFREY ZAMBI
3. Naibu Waziri Wa Habari,Utamaduni Na Michezo > JUMA NKAMIA
4. Naibu Waziri Wa Nishati Na Madini > CHARLES KITWANGA
5. Naibu Waziri Wa Nyumba Na Maendeleo Ya Makazi > GEORGE SIMBA CHAWENE
6. Makamu Wa Raisi Muungano,Kuna Mabadiliko Ya Naibu > UMMY   MWALIMU
7. Katiba Na Sheria > DR ASHA ROSE MIGIRO
8. Afya Na Ustawi Wa Jamii > SEIF SELEMAN RASHID Naibu > DR STEVEN KEBWE
9. Naibu Waziri Wa Maendeleo Ya Jamii Jinsia Na Watoto > PINDI CHANA
11. Naibu Wa Waziri Wa Maji > AMOS MAKALA
12. Waziri Wa Maliasili Na Utaliii > LAZARO NYARANDU Naibu > MAHMOUD MGIMWA
13. Waziri Wa Mambo Ya Ndani > MATHIASI CHIKAWE
14. Waziri Wa Ulinzi Na Jeshi La Kujenga Taifa >DR HUSEIN MWINYI
15. Mifugo Na Uvuvi > TITUS KAMANI Naibu > OLE KAIKA TELELE
16. Naibu Waziri Wa Viwanda Na Biashara > JANETH MBENE.
17. Waziri Wa Fedha Na Uchumi > SAADA MKUYA
Manaibu Wziri Wa Fedha > MWIGULU NCHEMBA Na ADAMA MALIMA

No comments: