Sunday, November 3, 2013

PICHA 30 ZA TAMASHA LA BON FIRE SAUT MWANZA USIKU HUU

Usiku wa kuamkia leo…kumefanyika tamsha maalumu la kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha mtakatifu Augustino Kampasi ya Mwanza (SAUT- MWANZA).
Tamasha hili linajulikana kwa jina la BON FIRE… kibwwagizo hicho cha Bon fire, huashiriwa na kuwashwa kwa moto ambao kikawaida hukokwa katikati ya uwanja wa Raila Odinga, huhanikizwa na matumbuizo kutoka kwa wasanii mbali mbali, wa ndani ya chuo na hata wale wanaotambulika kitaifa ama hata wanaovuka mipaka ya nchi zao.
Tamasha la mwaka huu lilisindikizwa na wasanii wafuatao :  Godwin Felix, Latifa, Young Rafa, Azma, Media Man (wanafunzi wa Mass com) na More Music, Hawa wote waliwakilisha mwanza, wengi wao wakitokea SAUT.
Kutoka nje ya Mwanza, alikuwepo Kassim Mganga (Tajiri wa mahaba), Jambo squard(wazee wa kimbaumbau kanenepa kawa tuku nyema) ,na  R.O.M.A Mkatoliki.
Kwa umahiri mkubwa katika picha , fuatilia ilivyokuwa…
HAPA ILIKUWA NI BATTLE ...KUCHANA LIVE!!! 

 BAADAESHOW IKAHAMIA KWA WASANII,  Dj ...weka nambaaaaa............. ndo kazi ikaanzia hapa
AZMA akifanya kile kilichomfanya akaalikwa kwenye tamasha hilo
Young Rafa, nae alikuwepo
MC Winnie(mwenye t shirt nyekundu) akiteta jambo na wadau

YASINTA, nae alikuwepo...hatari yake huyu dada anachana HIP HOP ni hatareee...

GODWIN FELIX akiimba na msanii mwenzake

MORE MUSIC (kulia) nae alikpata nafasi ya kufanya kazi yake

 UKAWADIA WAKATI WA TAJIRI WA MAHABA, KASIM MGANGA....


 BAADAE WAZEE WA TUKU NYEMA..... Kimbaumbau akageuka tukunyema...
......bila kukunja gotiiiiii


Mahaba ya wana ARUSHA sasaaaaaaaaa....

UKAJA WASAA WA NANI ANASHINDA NINI KUTOKA KWAWADHAMINIIIII.........
 LAPTOP....ikawa ni mjoa ya zawadi na hapa mshindi akiihakiki...

 BAADAE MWISHOOONIII IKAWA NI ZAMU YA KUWEKA KIDOLE CHA MWISHO JUUUU....R.O.M.A MKATOLIKI akatumbuiza ..


No comments: