Friday, May 10, 2013

HEPIBESIDEI YA MIAKA 15 REDIO SAUT

KITUO CHA MATANGAZO NA CHUO KIKUU CHA CHA WATANGAZAJI MAHIRI HAPA NCHINI REDIO SAUT (96.1 FM) JUMAPILI HII INATIMIZA MIAKA 15 TANGU IPEWE JINA HILO..... KARIBU KATIKA UWANJA WA RAILA ODINGA MALIMBE MWANZA ...JUMAPILI HII 12/05... USHIRIKI KATIKA BONANZA KUBWA ZAIDI KUFANYA JIJINI MWANZA... HAKUNA KIINGILIO...

No comments: