Friday, March 22, 2013

KUMBUKUMBU KIMATUKIO UCHAGUZI ULIOPITA SAUT MWANZA... NANI KUWANIA MWAKA HUU?

HAWA HAPA WALIOGOMBEA, sehemu hii ya kwanza ni wale wagombea walioshindwa...Je unawakumbuka majina yao.... tuandikie upate zawadi nzuri kubwa


 HAWA NDIO walikuwa washindi na kushika hatamu ya uongozi na wikendi iliyopita walivunja serikali yao , ikiwa ni ishara ya kumaliza hatamu yao....wataje majina yao pia..
No comments: