Saturday, March 16, 2013

HAWA NDIO VIONGOZI WA TUME YA UCHAGUZI SAUTSO (SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO KIKUU SAUT- MWANZA)..... 2013/2014

MwenyeKiti >>>> BW. MAKALA LUMULI

  Makamu Mwenyekiti >>>BW. RASHID CHILUMBA

Katibu >>>> BERTHA DENIS

Tume hii inaundwa na wajumbe wengine 30, ambao ni wanachama wa SAUTSO kwa mujibu wa katiba. Shughuli hii ilifuatiwa na hotuba ya Rais wa serikali ya wanafunzi, na baadae kutoa hoja ya kulivunja bunge , pamoja na kuvunja baraza la mawaziri.
Kwa hatua hizo na dhahiri kuwa sasa muda wa "leadership for charity" utakuwa umefikia ukomo, kupisha kauli mbiu nyingine ishike hatamu.
Mafanikio na changamoto ambazo uongozi uliopita umekumbana nazo... zipo katika hotuba ya rais, ambayo tutakuwekea hapa uisome mwanzo mwisho.

Rais, Waziri Mkuu na Makamu wa rais....hawa wanamaliza muda wao...

No comments: