Tuesday, January 22, 2013

KIAPO CHA OBAMA NA AGENDA YA USHOGA


Rais wa Marekani, Barack Obama, wamewaambia wananchi wa Marekani kutumia fursa hii kujiimarisha katika hotuba aliyoitoa mjini Washington DC wakati wa sherehe za kumuapishwa kwa muhula wake wa pili.
Aliwasihi wamarekani kuungana na kuwa na umoja wa kisiasa wakati akielezea umuhimu wa kufurahia haki uhamiaji, mapenzi ya jisnia moja na vita dhidi ya tabia nchi au athari za mabadiliko ya hali ya hewa.
Maelfu ya watu walisongamana katika sherehe za kuapishwa kwa Obama mjini DCBwana Obama, mwenye umri wa miaka 51, na ambaye ni rais wa 44 wa Marekani, aliapishwa kwa muhula wake wa pili na jaji mkuu John Roberts.
BBC

No comments: