Tuesday, January 22, 2013

HARAKATI ZA MAISHA MWANZA TOWN

Ndege huyu anatafuta riziki , mita chache kutoka stendi ya mkoa wa mwanza
Wadau wakipata picha za uchafu uliorundikwa jirani na stendi ya mabasi yaendayo mkioani, hapa ni mwanza pia
konda......huduma bora kwa mteja
Usalama wa hawa jamaa wanaotengeneza barabara ni ishu kweli mjini 

No comments: