Usiogope kuwa eti unaudhaifu wa mwili, jamaa anachapa kazi ya kupiga debe
Haijalishi usalama walionao wakati wakifanya barabarani, mkate wa siku ndio dili kamili
Kazi ni kazi, ilimradi mkono uende kinywani
Inafika wakati Kondakta kutoa huduma bora kwa wateja wake.
Harakati za kutafuta mkate, kimjini mjini majani nayo ni dili ujue..
No comments:
Post a Comment