Sunday, January 13, 2013

HILI LA KUCHINJA LINAZUA WASIWASI ZAIDI

Punde hivi nimekuwa nasikiliza kituo kimoja cha matangazo, KWA NEEMA FM, mjadala uliokuwepo ni kuhusu suala la uchinjaji wanyama ambalo mkuu wa mkoa wa Mwanza Eng Evarist NDIKILO, alitoa tamko hivi karibuni wilayani Sengerema kuwa suala la kuchinja litabakia kuwa la waislamu.
Kwa mujibu wa kituo hicho wanasema hili si suala la kisiasa, hivyo mkuu wa mkoa amekosea na kulifanya lakisiasa.
"Kwa mujibu wa katiba hakuna sehemu inayosema au kutoa haki ya mtu kuchinja" 
MAONI YA BLOG HII .... nadhani hakuna haja ya kulazimisha jambo la aina hii, hii hali ya kuwakamata watu eti kwa kuwa wamechinja mnyama ambaye anamtumia nyumbani kwake...ambalo linajitokeza kwa sasa Sengerema, litaleta shida zaidi katika taifa letu.


Our Mission

To protect and promote public health by ensuring quality, safety and effectiveness of food, drugs, cosmetics and medical devices.

No comments: