Sunday, January 13, 2013

REKODI YA MIAKA 38 YA EMIRATES YAVUNJWA LEO

Hii leo Manchester City imeilaza Arsenal 2-0 na kufuta rekodi ya kutoshinda katika uwanja wa Emirates, iliyokuwa imedumu kwa zaidi ya miaka 38. Wakati wa mechi hiyo wachezaji wawili walipewa kadi nyekundu, mmoja wa Arsenal na mwingine wa Manchester City.
Hawa ndio wababe wao...

No comments: