Wednesday, January 2, 2013

ALICHOKISEMA ZITTO KABWE KUHUSU KIFO CHASAJUKI


Hali ya Afya ya Sajuki ndiyo ilinisukuma sana kuanza kusaidia wasanii nchini kupata kipato stahili na kazi Yao. Kifo chake kimeniondolea Mtu niliyemtazama kama kishawishi Cha Mimi kupigania haki za Watanzania walio kwenye entertainment industry. Sajuki left an indelible mark in my politics. Pumzika Kwa Amani Juma.
Like ·  ·  · 7 hours ago via mobile · 

No comments: