Wednesday, January 2, 2013

ALICHOKISEMA MASANJA MKANDAMIZAJI KUHUS KIFO CHA SAJUKI


I have some bad news. Ndugu yetu SAJUKI amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Muhimbili. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina lake na lihimidiwe! Tulimpenda, tulijitahidi kufanya kile tulichoweza lakini Mungu amempenda zaidi na amemuita kwake kupumzika.! Thanks kwa support yenu kubwa sana wakati tunatafuta msaada wa matibabu yake. Mungu awabariki sana!
Unlike ·  ·  · 8 hours ago · 

No comments: