Monday, December 31, 2012

BREAKING NEWSSSSSS !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! HII NI YA KWAKO MDAU

KWAKO MDAU napenda kwa heshima na taadhima, kwa upendo na uaminifu kama ule ambao wewe msomaji wetu umekuwa nao , ndio maana ukaitembelea blog hii, Naomba tumshukuru MUNGU kwa tendo jema la kutufikisha salama , na atutunze vyema mwaka MPYA 2013. 
Ninawashukuru waandishi wenzangu katika mtandao huu, hawa wamekuwa msaada mkubwa katika kufanikisha kupatikana kwa taarifa mbali mbali, 
1. Ndg Danson Kaijage (dankaijage.blogspot.com) , huyu amekuwa nasi akitupatia habari na matukio kutoka bungeni.
2. Ndg Ahmad James Nandonde (Victoria Fm), huyu ametupatia habari kutoka Musoma
3.  Ndg Idrisa Bandali (Info radio), huyu ametupatia habari kutoka mikoa ya kusini.
Kwa pamoja niwashukuru pia ndugu jamaa na marafiki, baadhi yao ni Mwl Migongo, Mhasibu N.Migongo, na Madam G, wote pamoja na WEWE msomaji mmekuwa msaada na msukumo mkubwa wa mimi kufanya kazi hii. Mungu azibariki kazi za mikono yetu sote.
Elia Migongo,
Msimamizi/mliki wa blog hii.
eliamigongo.blogspot.com
eliamigongo@gmail.com

1 comment:

Anonymous said...

Haja ya kuwasikiliza na ufafanuzi zaidi ipo