Saturday, December 29, 2012

PICHA MBILI MUHIMU KUTOKA FACEBOOK LEO... MOJA INASIKITISHA MOJA INAFURAHISHA NA KUSIKITISHA

Ajali usiombe ila sijui tutamaliza huu mwaka? naomba tusali jamani....

 • Julius Shayo poa kaka!

  Fatuma Maumba added a photo from December 2012 to her timeline.
  Jamani huyu kaka sio dereva bodaboda ni mwandishi wa habari wa gazeti la mwananchi Mkoa wa Mtwara Abdallah Nassor, sasa mimi sijui nadhani alijua kutatokea mabomu katika maandamano hayo akaamua kujiandaa mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

  Like ·  ·  · 37 minutes ago · 

No comments: