Sunday, December 23, 2012

MUSIBA NA SIRI NZITO YA CHADEMA KUPINGA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI


SIRI NZITO YAFICHUKA..........

Chadema wandaa Maandamano kupinga ujenzi wa barabara zinazoendelea nchi zima daraja la kigamboni.....pia Ujenzi wa hosipitali ya Moyo tanzania katika kikao hicho Dr slaa alisema kuna umhimu pia kugoma kwa nini sasa hivi rushwa kubwa kubwa kama EPA RICHMUND hazipatikani
Hivyo chama hicho Agenda yake kubwa ya ufisadi iliokipa umaarufu mbioni kupotea
na kufanya chama kukosa cha kusema.....................katika kikao hicho lema alionekana mpole baada ya kuambiwa sasa rukwa kigoma mpanda tabora inaunganishwa kwa rami huku huduma za afya elimu zikiendelea kufanya vizuri

STAY TUNED KUSIKIA MGOMO WA UJENZI WA BARABARA NA HUDUMA ZA KIJAMII
Like ·  · 

No comments: