Sunday, December 23, 2012

MASANJA MKANDAMIZAJI NA TATHMINI YA MAISHA YETU KIBONGO BONGO


Musa akiwa na miaka 7: mama Mimi nikiwa mkubwa nitakuwa mwanasheria.
Akiwa na miaka 17: mama ona nimepata A zote lazima nitakuwa mwanasheria!!!!
Akiwa na miaka 20: dah! Sheria ngumu si mchezoo!!!!
Akiwa na miaka 24 anatambulishwa club: piga keleleeeee DJ Musa ndani ya club!!!!!!
23Like ·  · 

No comments: