Monday, December 17, 2012

MICHUANO YA PRO LIFE SAUT MWANZA ...PR WASHINDA

Timu wa wasomi wa fani ya mahusiano ya umma imebuka mshindi wa michuano ya PRO LIFE iliyokuwa inaendelea katk chuo cha SAUT – MWANZA.
Fainali hiyo ilihudhuriwa na wadau mbali mbali wa michezo. Baada yampambano wa soka, msanii NIKI WA PILI aliwaburudisha wadau walifurika uwanjani hapo, burudani pia zilihusika na kijana machachari mzee wa ACHA DHARAU….  A.k.a BE BLACK..alifanya mambo pia …shughuli nzima ilifanyika viwanja vya Raila Odinga.

Meza kuu... wakati DVCAA ambaye ndio alikuwa mgeni rasmi akitoa neno kidogo
 JUU na CHINI ... PR wakifurahiaushindi wao.... Hongera kwenu
 ZAWADI YA NIDHAMU katika Netball.... Bi Frida Mbilinyi akichukua bahati lake la kaki
 AAAAAAAAAAA....ACHA DHARAU..... hiki ni kibwagizo katika wimbo wa Be Black

 NIKI WA PILI kwa stage ...akifanya yakwake yeye ya kiarusha.....


No comments: