Tuesday, November 6, 2012

PUMZIKA KWA AMANI MTUMISHI WA MUNGU ,MPIGANAJI ASKOFU BALINA

The Right Rev. Bishop Aloysius A. Balina, born at Isoso, Ntuzu Bariadi District on June 21st 1945; ordained priest on 27th June, 1971, consecrated Bishop on 6th January 1985, by Pope John Paul II in Rome. Installed as first Bishop of Geita on 10th March, 1985. Transferred on 23rd September 1997, installed as the Third Bishop of Shinyanga on 16th November, 1997.

Death, 6th November 2012 at Bugando hospital in Mwanza.

Kwa niaba ya washiriki wote katika Blog hii tunawapa pole watanzania wote, hii ni kwa kuzingatia kuwa Askofu Balina alikuwa mpiganaji wa haki na maisha ya vikongwe, pia waumini wa Kanisa Katoliki, kwa kuwa huyu alikuwa Baba wa kiimani. 

RAHA YA MILELE UMPE E BWANA, MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE, APUMZIKE KWA AMANI !!!

No comments: