Tuesday, November 6, 2012

DIWANI AZUNGUMZIA SUALA LA WASICHANA 400 KUKEKETWA MARA

Diwani wa kata ya kata ya kisumwa wilayani rorya Peter Omolo Malaki akizungumzia kuhusiana na suala zima la ukeketaji katika kipindi cha sunset power hii leo katika kipindi cha sunset power na mtangazaji makiwa jumanne ndani ya victoria fm
Diwani Malaki akifafanua jambo na picha nyine ni mtangazaji wa kipindi cha sunset Makiwa Jumanne.

Picha zimetumwa na Ahmad Nandonde , Musoma.

No comments: