Wednesday, November 21, 2012

PICHA USHAHIDI WALIONAO WACHIMBAJI WA GEITA

CHETI cha kumiliki kiwanja cha uchimbaji mdogo mndogo wa madini ya Dhahabu, Na. KHM190-198/2011 kilichopo eneo la Lulembela Wilayani Bukombe Mkoani Geita ambacho kiliombwa na umoja wa (Shilabela Gold Mining Co-operative Society  Limited).

VIELELEZO VINGINE VINAKUJA !!!!!

No comments: