Tuesday, November 20, 2012

KWA KISA HIKI CHA MTOTO KULISHWA KINYESI NA KUUNGUZWA MOTO , JE TUAMINI KUWA MWAMKE NI KIUMBE KATILI ZAIDI DUNIANI

Huyu ni binti mdogo wa miaka 3, anaitwa Aneth, hapa ni baada ya kuunguzwa na kulishwa kinysi na mama yake mdogo.
Hatimaye mkono wa Aneth umekatwa
HUYU NDIYO MAMA MDOGO WA ANETH AMEJULIKANA KWA JINA LA  BAHATI LUKANGARA NDIYO ALIYEMUUNGUZA MTOTO ANETH


No comments: