Tuesday, November 20, 2012

HUYU NDIO HAYATI FRED MTOI, WA BBCLiked · 7 hours ago 

Wapenzi wa BBC, ndugu, jamaa na marafiki,

Kufuatia kifo cha mwenzetu Fred Mtoi, tunapenda kuwaarifu kinachoendelea tangu tumpoteze ndugu yetu usiku wa kuamkia Jumamosi wiki iliyopita.

Kwa mujibu wa taratibu za Hospitali na mamlaka husika (vizazi na vifo-registrar) mwili wa marehemu unatarajiwa kuruhusiwa kutoka hospitali siku ya Ijumaa.

Mipango mingine ya ibada na heshma za mwisho hapa London kabla ya kumsafirisha nyumbani Tanzania tutawajulisha itakavyokuwa ikiendelea katika ukurasa huu (facebook) na katika vyombo vingine vya habari.

No comments: