Tuesday, November 27, 2012

HAYA NI YA MUSIBA...KUELEKEA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI, ATAKA AKINA LOWASA WANG'OLEWE


CCM TUACHE SIASA ZA KULEMBA NA KUWAONEA WATU AIBU:
WAMEVURUGA CHAMA:WALITAKA KUMPINDUA MWENYEKITI:
WALITUMIA RUSHWA KUUA CHAMA KWA KUWEKA VIONGOZI WASIO NA UWEZO:
MPAKA LEO WANAPITA MISIKITINI NA MAKANISANI WANAINGIZA SIASA ZA UDINI:
WANASHANGILIA UKANDA NA UKABILA:
HAWALIPI KODI:BIASHARA ZAO HAZIELEWEKI:
BADO MNAWAONEA AIBU ETI TUNAJENGA CHAMA BADALA YA KUWAWAJIBISHA ILI WANANCHI WAONE MANENO YENU KWA VITENDO
HUU SI MUDA WA KUWAPA WANANCHI MANENO TU,WANANCHI WANAHITAJI UTEKELEZAJI WA MANENO YENYEWE,KUIMBA NA KUSEMA TU MAJUKWAANI HAKUISAIDII CCM KAMWE: WANANCHI WANATAKA MATOKEO KAMA LOWASA NA CHENGE WANAWAJIBISHWA KWA MASLAHI YA CHAMA WAWAJIBISHWE,WANANCHI WANAPIMA UAMINIFU WENU NA WANAWAPIMA KWA MATENDO YENU KUSEMA TU BILA KUCHUKUA HATUA:

LEO WAPO WANACCM WANASHABIKIA UAMSHO BADO WANAONEWA AIBU,BADALA YA KUWACHUKULIA HATUA.

No comments: