Thursday, October 25, 2012

ZITO KABWE AMENUKUU SHAABAN ROBERT .... HIKI HAPA ALICHONUKUU


'Msema kweli huchukiwa na marafiki zake, nitakapofikwa na ajali hiyo, sitaona wivu juu ya wale wawezao kudumu na marafiki zao siku zote, siwezi kuikana kweli kwa kuchelea upweke wa kitambo, nikajitenga na furaha ya kweli itakapotokea pale uwongo utakapojitenga' - Shaaban Robert
24Like ·  · 

No comments: