Saturday, October 13, 2012

MPYAAAAA..... KAMANDA WA POLISI MWANZA AUWAWA USIKU WA KUAMKIA LEO


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Barlow ameuawa usiku wa kuamkia leo katika tukio linalohusishwa na ujambazi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini anasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa baada ya kumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili.

No comments: