Friday, October 12, 2012

KAMA HUKUJUA KUWA LEO PALIKUWA NA VURUGU NCHI HII TAZAMA HAPA

MBAGALA
Kijana ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa amepata mkong'oto na askari polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia waliokuwa wakituliza maandamano ya waumini wa dini ya Kiislamu maeneo ya Mbagala leo hii..Picha na maelezo na Rashid Mtagaluka


HASIRA ZA WATU WANAOSADIKIKA KUWA NI WAISLAMU WALIMALIZIA HASIRA ZA KUPIGWA MABOMU YA MACHOZI KATIKA NYUMBA HII HAPA

DODOMA

gari ambalo lilipopolewa na mawe ambalo lilikuwa na viongozi wa chadema wakati wakutoka katika uzinduzi wa kampaeini ya uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Mpwapwa mjini... Picha na maelezo na Danson Kaijage

No comments: