Thursday, October 11, 2012

KERO YA MAJI JIMBONI KWA NDUGAI: WANANCHI WANALAZIMIKAKUAMKA USIKU WA MANANE

Jimbo la Kongwa Kijiji Cha Ngomai, Kisima hiki kinategemewa na wanakijiji zaidi ya 10 elfu.
Hisima cha Ngomai katika Jimbo la Kongwa ambachi kinategemewa na zaidi ya wakazi 10,000, kisima hiki kilichimbwa kwa michango ya wananchi lakini kuna visima vya serikali vimekufa siku nyingi na hakuna matengenezo

Picha zote na mdau Danson Kaijage

No comments: