Saturday, October 20, 2012

KAMA HIZ NDIZO ZILIKUWA SABABU ZA MAANDAMANO.... BASI KWA MAONI YA BLOG HII KUNA HAJA YA KUTAFAKARI UTAIFA WETU, IMANI ZETU, NA UVUMILIVU KATIKA IMANI ZETU..

Mungu ibariki Tanzania usiiache kwa kuwa umekuwa nayo katika mambo mengi...wewe ulikuwa mtetezi wa viumbe vyako....tupe hekima ya kufikia muafaka katika hili...... HII NI DUA YA BLOG HII KWA TAIFA LETU......

SASA HUU NDIO WARAKA UNAODAIWA KUSAMBAZWA KABLA YAMAANDAMANO YA JANA MCHANA ,.. JIJINI DAR ES SALAAM.

MATOKEO YAKE SASApicha na Mo blog

No comments: