Saturday, October 20, 2012

RADIO SAUT YAWAKARIBISHA WATANGAZAJI WAPYA .... USIKU HUU

HIKI NDICHO KILICHOENDELEA USIKU WA HUU.... MITAA YA MAISHA ECOLOGICAL RESORT.... ULIPIGWA MZIKI WATU WACHEZA...ZIKAFUNGULIWA KAUNTA VINYWAJI VIKA......... hii ilihusisha watangazaji wanafunzi... waliopo katika chuo cha SAUT.... wakiwakarisha wenzao wa mwaka wa kwanza. Sherehe zilianza majira ya saa mbili usiku  hadi baaadaee sana.... majira kama saa tisa usiku hivi..... PICHA ZAIDI ZITAKUJIA HAPA HAPA....
WAcha weeeeeeeeee...musiki rahaaaaa
Hawa ni watangazaji wa vipindi vya burudani wa Radio SAUT. Picha na MIGONGO  1950
Wageni maalumu (mwaka wa kwanza)
Hapa Burudani ziliendelea kwa saaaana...
Mtangazaji mpya wa radio SAUT, (Mass com one) kilichovutia wengi kwa bwana huyu ni kule kujitambulisha kwake.  Picha na MIGONGO 1950

No comments: