
Hapa mnenaji alikuwa Eugen Mulisa, wa HHC Mwanza.... alipiga neno na baadae maombi.... kisha unachokiona kwenye picha hizi ndicho kilichoendelea... Hapa ilikuwa upako tuuuuuuu...!!!!
| Hawa jamaa wanaitwa Kihayile Group |
| Vocalist wa Kihayile Group, kama ni kipaji dada huyu amejaaliwa |
| Jamaa huyu pembeni mwenye shati jeupe, anaitwa David Silwimbe, anapiga vocal kali sana katika kumsifu jehova |
| JUU , ni praise team ya TAFES - SAUT MWANZA wakipiga vocal katika kumsifu Jehovaaaaaaa!!!!!! |
| Raha ya muziki inaanzia kwa hawa jamaaa... hawa ni wapiga vyombo wa TAFES, |
| Praise team kazini sasaaaaaa !!! ni utukufu kwa kwenda mbeleeeee!!! |
No comments:
Post a Comment