Tuesday, October 2, 2012

BREAKING HABARI ..........

Katika mtaa wa Shangani Mashariki , katika manispaa ya Mtwara- Mikindani, transfoma ya Tanesco inawaka moto muda huu.... Kwa mujibu wa mdau alitoa taarifa hii wahusika wamechelewa kuja... ingawa bado haijajulikana madhara yalitokana na tatizo hilo...

Hbari kwa hisani ya Mdau wa blog hii, kupitia facebook

No comments: