Saturday, September 8, 2012

GIZ WAFANYA SEMINA KWA WANAHABARI , WANAUME WAHAMASISHWA KUSHIRIKI UZAZI WA MPANGO

bw.sospeter magumba mwezeshaji katika semina hiyo na pia ni mtangazaji wa radio pride fm mtwara akijibu swali lililoulkizwa na mwandishi wa habar

mwakilishi wa GIZ suzzane heart akiwa na mwandishi na mtangazaji wa Rwangwa fm ya mkoani lindi juma mweru
WANAHABAR WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKIPASHA MWILI NA WAWEZESHAJI WAO BAADA YA KIKAO CHA MUDA MREFU

Wakiwa katika semiana ya siku tatu iliyomalizika jana bagamoyo millenium hotel ikihusisha wanahabar na watu wa shirika la GIZ kwa lengo la la kuhamasisha wanahabari kuandika habari zinazohusu masuala ya jinsia na maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kulia ni kwanza kulia ni mwezeshaji kutoka shirika la ujerumani la giz mama beatrice ezekiel anayefuata ni mwandishi na mtangazaji wa radio victoria fm musoma bw. ahmad jay nandonde ,james mbuligwe kutoka wananchi blog na mwisho ni mtangazaji wa radio jamii ya wamasai mkoani manyara bw jackson

No comments: