Sunday, June 24, 2012

MASANJA MKANDAMIZAJI ... KICHEKESHO CHA WAGONJWA WA AKILI

Wagonjwa wa akili walipanga jinsi ya kutoroka hospitali. Waliamua:
1. Wampige mlinzi
2. Wamnyang'anye funguo
3. Wafungue mlango, wakimbie.

Walipofika mlangoni hawakukuta mlinzi na mlango ulikuwa wazi. wakasema, "Duuuuh! Mpango wetu wa kutoroka ndo umeshafeli, mlinzi hayupo." Basi wakaghairi!

No comments: