Thursday, June 14, 2012

BURIANI RUKIA

KAMA HUKUONA PICHA ZA RUKIA WAKATI AKIWA MGONJWA BONYEZA HAPA... TUNAOMBA RADHI KAMA PICHA UTAKAZOZIONA ZITAKUSUMBUA......Fr.MICHAEL AKIFANYA MAOMBEZI KWA MGONJWA RUKIA 
Licha ya kupata huduma ya afya,mapadre wanawaombea wagonjwa na kuwafariji kila asubuhi kama invyoonekana pichani.

Wadau walioenda kumtembelea hospitali....

MWAKILISHI WA OLAM T.LTD(MTWARA BRNCH) AKITOKWA NA MACHOZI.
Mwakilishi wa Olam tawi la Mtwara David Mpotoalitokwa na machozi baada ya kumshuhudia hana kwa hana na mtoto RUKIA

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA..... SISI WAJA WAKE TUNARUDISHA UTUKUFU KWAKE YEYE ALIETUPA NAFASI YA KUISHI NA RUKIA JAPO KIBINDAMU NI MUDA MFUPI....... POLE KWA WANAFAMILIA WOTE TUNATAMBUA MLIPENDA SANA..... ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI.....

No comments: