Friday, June 15, 2012

JANA DODOMA BAADA YA BAJETI YA 2012/2013 KUWASILISHWA

Mtaalamu wa uchumi nchini, Prof Lipumba nae alitoa maoni yake
Waziri kivuli wa wizara ya fedha , Zitto  Zuberi Kabwe, akiongea na TBC 1
Ludovik Utoh, CAG- Mkaguzi na mdhibit wa hesabu za serikali, akiongea na mwandishi wa TBC 1
Waziri wa fedha Dr. Mgimwa, akipiga michapo na wabunge wenzake
Kiongozi wa kambi rasimi ya upinzani, Mbowe akitoa yake mbele za waandish wa habari
TBC 1 Kazini

No comments: