Thursday, June 14, 2012

RUKIA AFARIKI DUNIA.,TAHARIFA ZA MSIBA
Ndugu zangu wapendwa najua tulimpenda sana mtoto RUKIA na kuamua kujitolea kwa hali na mali lamini Mungu amempenda zaidi.Kazi yake mola aina makosa.RUKI AMEFARIKI DUNIA JIONI HII,mnamo saa 12:45 jioni hii ameaga dunia.Maralia yalimpata jana jioni,jitihada zilitumika kumuokoa lakini Mungu amemwita ktk makazi ya milele.Nafanya jitihada za kuondoa mwili wa marehemu kesho asubuhi tayari kwa mazishi.Mkurugenzi mtendaji wilaya ya Ruangwa amenithibitishia kunipa gari la wagonjwa kesho asbuhi.kwenda kuchukua mwili wa marehemu.R.I.P RUKIA — with Vitali Maembe and37 others.
 ·  ·  · 15 minutes ago · 
 ·  ·  · 17 minutes ago · 


No comments: