Mashindano ya FAWASCO ni mashindano ya michezo mbalimbali yanayoandaliwa na chuo cha mt. Augustine kila mwaka.Kwa mwaka 2012 fawasco kwa upande wa mpira wa miguu ilikuwa na msisimko mkubwa ingawa kuna baadhi ya dosari zilizojitokeza kama vile,wasimamizi wa mashindano ambao ni serikali ya wanafunzi kushindwa kutunza takwimu za maashindano kitu kilichopelekea utata mkubwa kwenye suala la adhabu za kadi,kutokuwa na uaminifu kwa baadhi ya timu kwa kuchezesha wachezaji mamluki,maamuzi ya kutatanisha ya rufaa za timu mbalimbali na mwisho waamuzi kuchezesha kwa kutofuata kanuni na taratibu zinazoongoza mchezo wa mpira wa miguu
No comments:
Post a Comment