Wednesday, May 2, 2012

BARAZA LA HABARI TANZANIA - MCT - WATEMBELEA RADIO SAUT...

MWENYEKITI ALONGA:-


Asema serikali inayotoka kwenye mfumo wa chama kimoja inatabia ya kuogopa vyombo vya habari

Kwa kuwa pamoja na mahakama ndio kimbilo la wanyonge

Aisifu radio SAUT kwa kujielekeza kuwasaidia wananchi wanyonge na kujikita katika kuwa SAUTI YA WASIO NA SAUTI
Ataka waandishi wawe walinzi wao kwa wao kuyatetea maadili ya taaluma


Mwenyekiti wa MCT akiwasili Radio SAUT Fm, kulia ni mkurugenzi wa radio hiyo

Mkurugenzi wa Radio SAUT, Dotto Bullendu ,akitoa maelezo ya awali katika
kikao kati ya wanataaluma na mwenyekiti wa MCT
Mwenyekiti wa MCT, Jaji Thomas Mihayo, kulia ni Bi ose Haji wa UNESCO,
wakisikiliza maswali ya wanataaluma wa SAUT FM

Mdau, upcoming journalist Msonde Abdul, akitoa dukuduku lake mbele
ya mwenyekiti wa MCT

Wanafunzi wa SAUT MWANZA na waandishi na watangazaji wa Radio SAT
katika picha ya pamoja na wajumbe na mwenyekiti wa baraza la habari MCT.

No comments: