Wednesday, May 2, 2012

AJALI YA BASI LA NBS...

ABIRIA 7 Wafariki papo hapo
>Lilikuwa liktoka Tabora kwenda Dar
>Ajali imetokea leo asubuhi wilayani Igunga


Kwa niaba ya wanamtandao huu tunawapa pole wafiwa na ndugu na jamaa za wale waliojeruhiwa na kumuomba Mungu awape nafuu ya haraka majeruhi wote.....

No comments: