Wednesday, May 2, 2012

WALIFANYA VYEMA MATOKEO VI 2012

SHULE KUMI BORA


1. Marian (wasichana) - Pwani

2. Feza (wavulana) - Dar es Salaam

3. Kisimiri - Arusha

4. Kibaha - Pwani

5. Ilboru - Arusha

6. Mzumbe - Morogoro

7. Msalato - Dodoma

8. Tabora (wavulana) - Tabora

9. St. Mary's Mazinde Juu - Tanga

10. Consolata Seminari - Iringa


WANAFUNZI 5 WAKALI WA SAYANSI

1. Faith Assenga - Marian

2. Zawadi Mdoe - Feza

3. Belnadino Mgimba - Minaki

4. Jamal Juma - Feza

5.Imaculate Mosha - Marian


WANAFUNZI 5 'WAKALI' MASOMO YA BIASHARA

1. Alex Isdor -Kibaha

2. Ephraim Tumwidike - St Joseph's Cathedral

3. Vaileth Mussa -Weruweru

4. Seleman Manyiwa -Kibaha

5. Hussein Issa - Azania


5 BORA LUGHA NA SAYANSI YA  JAMII

1. Faridi Abdalla - Mpwapwa

2. Jema Rwihura - Weruweru

3. Mariam Hincha - Weruweru

4. Neema Mbandwa - Igawilo

5. Hemed Hussein - Tosamaganga

No comments: