Tuesday, March 6, 2012

TASWIRA MAJIMBONI.....

Ubovu wa miundo mbinu  ni moja ya vikwazo katika shughuli za maendeleo.. hapa watendaji wakiwa wamesitisha safari yao ya kulitumikia taifa na kugeuka kuwa makandarasi wa kujitolea. Ni katika moja ya majimbo mkoani Lindi.

No comments: