Thursday, July 21, 2011

HII NI YA MOTOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!

Katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini David Jairo , amepewa likizo ya malipo ili kupisha uchunguzi wa kashfa ya kuchangisha fedha ambazo zilitajwa kuwa za kusaidia kupitisha bajeti ya wizara hiyo.

Likizo ya Jairo Imetangazwa na katibu mkuu kiongozi Filemon Luhanjo, mjini Dodoma leo, Ludovick Utto , amepewa jukumu la kuongoza shughuli hiyo ndani ya siku kumiii.

No comments: