Saturday, July 23, 2011

DODOMAAA

Naibu Katibu mkuu wa TAMISEMI , Bw, Eliakim ashikilia mikoba ya David Jairo, katika wizara ya nishati na madini.

Wadadisi wa mambo wanaona kuwa Jairo ndio basi tena hana chake, wengine wanahoji kwa nini Ngeleja nae asijiuzulu, kuonesha tu uwajibikaji kwa sababu kazi imemshinda.

Ngeleja mwenyewe anasema , hoja sio yeye kujiuzulu ni kubadilisha bajeti ndani ya wiki tatu.

No comments: