SAUTI YA WAZIRI MKUU PINDA
HAWA HAPA AMBAO UTEUZI WAO UMETENGULIWA NA RAIS
HABARI YA HIVI PUNDE...,Rais ameridhia mawaziri Hamis Kagasheki (waziri wa utalii) ambae tayari alishatangaza kujiuzulu!, Emmanuel Nchimbi (Waziri wa mambo ya ndani),Shamsi Vuai Nahodha(Waziri wa ulinzi ) na Mathayo David Mathayo (Waziri wa Mifugo).
Hayo yametangazwa na Mh Mizengo Pinda, waziri mkuu, muda mfupi uliopita bungeni....kwa hali hiyo mawaziri wanne wameanguka!
No comments:
Post a Comment