Makamba azungumza na bodaboda Mwanza , aahidi kuendelea kuwasaidia kupata pikipiki za mkopo kwa masharti nafuu. Awashawishi kuanza kutumia huduma za Bima za maisha.. awafadhili madereva 100 kuanza kutumiahuduma za bima.
Mashirika mawili yaanza kuwahudumia Ndege Insurance na Shirika la Bima la taifa.
No comments:
Post a Comment