Monday, September 23, 2013

UNYANYASAJI WA KIJINSIA KUPATIWA JIBU KWA NJIA YA MTANDAO HUKO MARA

Story ya Ahmad Nandonde MUSOMA.
TAASISI ISIYO YA SERIKALI YA TANZANIA YOUTH ALLIANCE (TAYOA)YENYE MAKAO YAKE MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA KIVULINI YA JIJINI MWANZA ZIMEJIPANGA KUANZISHA NJIA MPYA YAKUTUMIA TEKNOLOJIA YA SIMU KWA NJIA YA UJUMBE MFUPI WA MANENO (SMS) KWA LENGO LA KUPINGA UNYANYASAJI WA KIJINSIA UNAOENDELEA KATIKA MIKOA YA MARA,MWANZA NA SHINYANGA.
HAYO YEMESEWA LEO NA MKURUGENZI MSAIDIZI WA TAYOA NCHINI BW. BENEDICT LUVANDA KWENYE SEMINA YA SIKU MOJA ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA AGROFOREST MJINI MUSOMA.
MBAYO ITASAIDIA KWA KIWANGO KIKUBWA KUPUNGUZA UNYANYASAJI WA KIJINSIA KWA MIKOA ILIYO KANDA YA ZIWA. AMESEMA UJUMBE MFUPI WA MANENO UPO KATIKA NAMNA RAHISI YA KUMFIKIA MLENGWA KUTOKANA NA UJUMBE UNAOTUMWA KUONESHA KUWA UMEMFIKIA MLENGWA NA KUANZA KUIBUA MIJADALA YA KUKABILIA
LUVANDA AMESEMA ILI KUKABILIANA NA TATIZO HILO ASASI HIZO ZIMEAONA NJIA RAHISI YA KUFIKISHA UJUMBE KWA MLENGWA KWA HARAKA NI KWA KUTUMIA UJUMBE MFUPI WA MANENO YANI SMS HATUA
ANA NA UNYANYASAJI HUO BAADA YA UJUMBE HUO KUWAFIKIA KWA WINGI. KWA UPANDE WAKE MRATIBU UKIMWI MKOANI MARA DK. EDWIN MWELEKA AMESEMA KUWA KUANZISHWA KWA HUDUMA HIYO KUTAWAWEZESHA WANANCHI KUPATA TAARIFA YA NAMNA YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA HUSUSANI KWA WATU WA KANDA YA ZIWA. AMESEMA HUDUMA HIYO PIA ITAWAWEZESHA WANANCHI KUPATA ELIMU YA MOJA KWA MOJA NA HIVYO KUMFIKISHIA MWENGINE ILI KUUTOKOMEZA KABISA UKATILI HUO. HATA HIVYO MWELEKA AMEIOMBA JAMII KUTOA USHIRIKIANO KWA TAASISI HIZO ILI HUDUMA HIYO ITAKAPOANZA IWEZE KUSAMBAA KWA WATU WA RIKA ZOTE NA KATIKA MAHALA HUSI
KA.

No comments: