USUMBUFU HUU MPAKA LINI KWA WAKZI WA LINDI, MTWARA..
Eneo la Somanga... licha ya kuwa ni eneo la kilomita 60 tu ambalo halina lami, kwa
muda mrefu sasa bado ni kikwazo kwa safari za Mtwara , Dar es salaam..
zaidi ya magari 50 yalikwama hapa siku ya jana.
No comments:
Post a Comment